Makusanyiko ya Pekee
Katika nyakati za kale, sherehe za kila mwaka na vikusanyiko vinginevyo vya ibada viliwaimarisha kiroho watumishi wa Mungu na vilikuwa pindi za shangwe.—Kutoka 23:15, 16; Nehemia 8:9-18
Katika siku zetu, makusanyiko ya kila mwaka ya eneo huwa ni fursa ya Mashahidi wa Yehova kuburudishwa kiroho na kutiwa moyo, na pia kufurahia ushirika wenye shangwe pamoja na Wakristo wenzao. Makusanyiko ya kimataifa na ya pekee hutoa ushahidi mzuri, huandaa fursa ya kujionea jinsi tengenezo letu lilivyo la kimataifa, na huwa ni kionjo cha jinsi maisha yatakavyokuwa katika ulimwengu mpya.
Tunafurahi kukupa habari kuhusu majiji ambayo makusanyiko hayo yatafanyika.

2025
Rwanda
Kigali
Togo
Lome
Zimbabwe
Harare #1
Zimbabwe
Harare #2
Bolivia
Santa Cruz #1
Bolivia
Santa Cruz #2
United States
Fort Lauderdale (Florida)
United States
Sacramento (California)
Indonesia
Jakarta #1
Indonesia
Jakarta #2
Japan
Kobe
Japan
Yokohama
New Zealand
Auckland
Sri Lanka
Colombo
Albania
Tirana
Belgium
Ghent #1
Belgium
Ghent #2
Croatia
Zagreb
Scotland
Glasgow